|
Visiwa vya Solomon ni nchi ya visiwani ya Melanesia katika Bahari ya Pasifiki upande wa mashariki ya Papua Guinea Mpya. Eneo lake ni visiwa mnamo 1000 vyenye 28,400 km². Mji mkuu ni Honiara kwenye kisiwa cha Guadalcanal.
Visiwa vimekaliwa tangu miaka maelfu na Wamelanesia. Katika karne ya 19 vilikuwa koloni la Ujerumani na Uingereza. Wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia mapigano makali kati ya Japani na Marekani yalipiganiwa hapo.
Visiwa vilipata uhuru 1978.
 |
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Visiwa vya Solomon kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Questions for article:
|